Similar services
Posted: 07 Jun 2017
Location: Australia and Oceania
I am DR SSAKAH, after 28 years of successful casts. I have all the experience needed to understand h...
Posted: 28 Mar 2017
Location: Africa
Tunafanya kazi nzuri,Haraka,na kwa bei Nafuu,pia tunapiga rangi mafriji na magari yaliyopata ajali t...
Posted: 28 Mar 2017
Location: Africa
Nabadili kila mfumo wa video na audio kwenda mfumo mwingine (mifumo yote ya kisasa)....hata video ca...
Posted: 28 Mar 2017
Location: Africa
MAFUNZO MAALUMU YA KUFANYA VIDEO EDITING NA GRAPHIC DESIGN VIDEO EDITING UTAJIFUNZA - Final Cut Pr...
Posted: 28 Mar 2017
Location: Africa
We provide stationery services . now we have SPECIAL OFFER TO SCHOOLS, COMPANIES AND STUDENTS
602 views
Semina ya Ujasiriamali kila jumamosi
Back
Posted: 30 Dec 2015 10:40
Category: Other
Person Type: Organisation
Location: Africa , Tanzania , Dar es Salaam
Description
 Kampuni ya CPM Business consultants itaendesha semina ya ujasiriamali kuhusu mbinu za kisasa za kupata pesa na utajiri, kila siku ya jumamosi kuanzia  tarehe 2/1/2016, saa 4 asubuhi, katika ukumbi wa Hawaii Kimara Baruti, kiingilio ni sh. 20,000 kwa kila mshiriki. Muwezeshaji wa semina hiyo atakuwa Bwana Charles Nazi, Mshauri wa biashara na mtunzi wa kitabu cha Mbinu za biashara na maarifa ya kupata pesa na utajiri.
Mada zifuatazo zitatolewa;
-Jinsi ya kukabiliana na hali mbaya ya uchumi inayoikumba nchi yetu na hasa tatizo la ajira.
-Jinsi ya kuchagua aina ya biashara ya uhakika itakayokuingizia pesa haraka na kuwa mfanya biashara mwenye mafanikio.
- Namna ya kuwa muwekezaji na kuanza kuwekeza mara moja hata kama huna kipato kikubwa, pia utaonyeshwa fursa za uwekezaji kwa wajasiriamali wadogo na wa kati na wakubwa.
- Fursa zingine za kuingiza kipato zitatolewa wale watakaohudhuria semina hiyo.

Tafadhali tuma ujumbe huu kwa watu wote
Kwa maelezo zaidi na kuthibitisha kuhudhuria semina piga simu namba 0784394701 au 0755394701
Contacts
Contact Person: CHARLES NAZI
Phone: 255755394701
Skype: cnazi2002
©2017 BIZCYCLONE Portal All Rights Reserved
Coopera teWith Us »
We are looking for partners all over the world to work with bizcyclone.com Interested persons and companies please contact us on email - Details >>