130 views
Kitabu cha mbinu za biashara
Back
For sale
Posted: 30 Dec 2015 12:58
Category: Books, Comics & Magazines | Non-Fiction
Conditions: New
Price: 6000 TZS
Person Type: Organisation
Location: Africa , Tanzania , Dar es Salaam
Description
Kitabu hiki kinalenga kumsaidia mtu yeyote ambaye anatafuta utajiri kwa kufanya biashara ndogondogo hadi kubwa. Pia kinatoa maarifa, mbinu na mikakati mbalimbali ya kupambana na umaskini, kinatoa elimu ya biashara na mbinu mbalimbali za namna ya kupata pesa kwa njia halali ili kukurahisishia safari yako ya kuelekea kwenye kutafuta na kupata utajiri. Mtunzi wa Kitabu hiki Charles P. M. Nazi ni mshauri wa masuala ya biashara. Kitabu hiki ni matokeo ya utafiti na uzoefu katika kazi za ukaguzi alizozifanya kwa kuangalia matatizo ya uendeshaji wa biashara mbalimbali pamoja na ushauri alioutoa kwa watu walioomba ushauri kutoka kwake.
Contacts
Contact Person: CHARLS NAZI
Phone: 255755394701
Skype: cnazi2002
Earn $2 for every friends you invite to BIZCYCLONE Get Started