10

SMART COOKER - Jiko la kisasa la digital250,000 TZS Fixed
Set Price Alert

Find it expensive?

BUY NOW!

Category Antiques | Appliances
Condition Brand New
Price Type Fixed
Habari njema Kwa wamama,wadada,bachelors na wanavyuo wa hostel,familia. Okoa pesa,muda,nafasi,gharama kubwa za umeme na gas na matumizi ya vyombo vingi. Tumia SMART COOKER - Jiko la kisasa la DIGITAL LINALOTUMIA UMEME MDOGO SANA KULITUMIA BEI : Tsh 250,000/= UKUBWA WAKE NI LITA - 5 Linapika vyakula vyote, ugali,wali nk Haliunguzi Chakula,haligandishi Chakula(Non-stick) hivyo kupunguza matumizi ya Mafuta ya kupikia Linachemsha supu,maji nk Linakaanga chips,nyama,maandazi, nk Linaoka cake,mikate nk Linatost mikate nk Linatengeneza pop corn Linachoma nyama,mishikaki nk Linatumika kama Oven,Microwave na Hotpot Ni rahisi KULITUMIA na ni Salama Kwa mazingira yote
Victor monyo

Individual

Do you have
something to offer?

POST FREE AD

Similar Products