Similar companies
This multidisciplinary resource centre features a diversified mix of scholarly journals, publication...
Malawi National Council of Sports (MNCS)
Cultivating New Frontiers in Agriculture (CNFA)
The district covers an area of 3,041 km². and has a population of 556, 678. The capital city, Dowa i...
Intelligent Placement - Durban, KwaZulu-Natal
4652 views
WATUMISHI HOUSING COMPANY
Back
Posted: 01 Feb 2016 12:46
Category: Government & Development
Location: Africa , Tanzania , Dar es Salaam
Address: Tanzania
Email: info@whc.org
Description
WHC-REIT inamilikiwa na Taasisi saba zikiwamo Taasisi tano za Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (yaani: PPF, NSSF, PSPF, LAPF, GEPF), Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) pamoja na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC). Shughuli kubwa za WHC-REIT kwa ujumla ni:
Utekelezaji wa ujenzi wa nyumba za watumishi wa umma (PSHS)
Kusimamia dhamana ya uwekezaji katika ardhi na nyumba.
Kujenga, kukarabati au kuboresha majengo kwa ajili ya kupangisha au kwa shughuli nyingine za kiuchumi.
Kujishughulisha na biashara ya usimamizi wa miliki.
Kufanya makubaliano ya kuingia ubia au ushirikiano na Kampuni yoyote au mtu yeyote ambaye anashughulika na biashara ambazo zinaendana na malengo ya WHC.
Senior Accountant - One Post
11 Aug 2017 10:18
Accounting/Finance
Salary: Negotiable
More
Location on the map:
Coopera teWith Us »
We are looking for partners all over the world to work with bizcyclone.com Interested persons and companies please contact us on email - Details >>