Negotiable
1613 views
0
0

Job Description

We are looking for MENEJA (Nafasi Mbili)

Bachelor

Full-Time


• Awe tayari kufanya kazi hiyo katika kituo cha Njombe, lringa au mahali pengine atakapopangiwa na mwajiri • Awe na shahada katika fani ya Uongozi, Utawala au Rasilimali Watu pamoja na elimu ya Biashara na Fedha • Awe na umri wa kati ya miaka 25 na 45, mwenye uzoefu wa kazi wa zaidi ya miaka miwili katika taasisi inayotambulika Awe ni mbunifu, mpana katika uelewa wa masuala ya utawala na biashara, mchapa kazi na anayeweza kujisimamia Awe na ufahamu wa kutosha kuhusu taratibu za uendeshaji wa makampuni Awe na ujuzi wa kutumia kompyuta pamoja na mifumo ya fedha katika kompyuta (Accounting packages) • Awe na uwezo wa usuluhishi (reconciliation attitude)


Kumsaidia Mkurugenzi Mkuu wa kampuoi kutekeleza majukumu ya kila siku ya kampuni Kumshauri Mkurugenzi Mkuu kuhusu masuala yote yaoayohusu wafanyakazi kwa upande wa uteodaji kazi, maslahi na mahusiano kazini Kusimamia na kuoogoza shughuli zote za kampuni na kuhakikisha zinakweoda na kuendeshwa ipasavyo Kuendeleza na kutekeleza mipango yote ya kampuni kwa kushirikiana na idara zake zote Kutoa msaada wa kiutawala kwa kazi zote za kampuni na kuchukua hatua sahihi za kuboresha utendaji wajumla wa kampuni Kulinda mikataba na kusimamia mahusiano baina ya kampuni na wateja; na kusimamia utekelezaji wa majukumu ya watumishi wengine wote Kuwaslliana na washauri na wakandarasi walioteuliwa na kampuni Kuwasiliana na serikali na mamlaka zingine za kisheria Kuandaa mipango kazi, ratiba za miradi, makadirio ya matumizi ya rasilimali na ripoti za utekelezaji wa miradi Kufanya mikutano ya mradi, uchambl:lzi na ufuatiliaji Kuwasiliana na vyombo na taasisi za fedha kuhusu usalama na usahihi wa rekodi za fedha za kampuni Atakuwa msemaji wa kampuni akimsaidia Mkurugenzi Mkuu Atawajibika kwa Mkurugenzi Mkuu na kufanya kazi yoyote ya kampuni kwa maelekezo ya kiongozi huyo

Share On

Similar jobs
19 Feb 2018
Category: Management
Location: Africa , Kenya
-Effective award management, leading the project team, in liaison with implementing partners ensuri...
19 Feb 2018
Category: Management
Location: Africa , South Sudan
-Degree, preferably in Statistics, Development studies, or the social sciences. - 3 years NGO exper...
17 Feb 2018
Category: Management
Location: Africa , Kenya
He/she should be self oriented , innovative and a team leader. The position requires a mature indivi...
15 Feb 2018
Category: Management
Location: Africa , South Sudan
-The organization encourages women, individuals with disabilities and minority group to apply -This...
15 Feb 2018
Category: Management
Location: Africa , South Sudan
-At least 2 years of experience in managing and motivating a team -Experience of developing good re...
Earn $2 for every friends you invite to BIZCYCLONE Get Started