Negotiable
1613 views
0
0

Job Description

We are looking for AFISA UGAVI

Bachelor

Full-Time


• Awe na shahada au stashahada ya juu katika fani ya manunuzi na ugavi (materials management) kutoka katika chuo kinachotambuliwa na serikali Awe na cheti cha CPSP na awe amesajiliwa na PSPTB na uzoefu wa kazi usiopungua miaka miwili Awe na umri wa kati ya miaka 25 na 45 Awe na ujuzi wa kutumia kompyuta pamoja na mifumo ya fedha katika kompyuta (Accounting packages) • Awe na uzoefu wa kazi usiopungua miaka miwili


Atatakiwa kutambua mahitaji ya bidhaa na huduma mbalimbali za kampuni na kufanya manunuzi kwa wakati muafaka na kwa gharama nafuu kwa kuzingatia sheria ya manunuzi na kanuni zake Kuwashauri viongozi wa kampuni kuhusu kanuni na taratibu sahihi za kufuata wakati wa kufanya manunuzi ya bidhaa na huduma kwa ajili ya kampuni Kwa kusaidiana na viongozi wa kampuni kuweka kumbukumbu ya vifaa vilivyo chakaa, ambavyo havijachakaa na thamani yake Kuandaa makabrasha ya tenda, na kupokea na kuwasilisha tenda Kuhakikisha nyaraka zote za ununuzi na uuzaji zinapatikana na kujazwa vizuri kwa kuzingatia sheria na kanuni za ununuzi • Kuhakikisha kwamba nyaraka zote za ununuzi na uuzaji zinatunzwa vizuri kwa ajili ya kumbukumbu pale zinapohitajika • Atafanya kazi nyingine zozote kwa maelekezo ya manejimenti

Share On

Similar jobs
19 Feb 2018
Category: Administrative
Location: Africa , Tanzania , Lindi
a) Doctor of Medicine degree/ Degree in Nursing or Social sciences OR b) Diploma or Advance diploma...
19 Feb 2018
Category: Administrative
Location: Africa , Tanzania , Dar es Salaam
Medical Degree and training in Public Health. 5 years relevant working experience in the area of cl...
19 Feb 2018
Category: Administrative
Location: Africa , Tanzania , Dar es Salaam
Master's Degree in a relevant field (community development, rural development, demography, statisti...
19 Feb 2018
Category: Administrative
Location: Africa , Tanzania , Dar es Salaam
University degree in Education, with a focus on Early Childhood, Primary Education or Teachers Educa...
19 Feb 2018
Category: Administrative
Location: Africa , Tanzania , Dar es Salaam
Bachelor degree in Accounting, Finance, or related field [Master's degree preferred] • CPA/ACCA Fin...
Earn $2 for every friends you invite to BIZCYCLONE Get Started