Similar jobs
Posted: 19 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Zimbabwe, Harare
A Bachelor's degree in Civil Engineering, Quantity Surveying, Architecture or related field is requi...
Posted: 16 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: India,
6+ years of overall industry experience 3+ years of experience building and deploying large scale d...
Posted: 11 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Tanzania, Dar es Salaam
1. Holder of a Degree in Engineering related field from recognized Higher Learning Institution/Coll...
Posted: 07 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Jordan, Amman
Ability to interact with local partner, and beneficiaries. Ability to conduct training for benefici...
Posted: 07 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Congo, Brazzaville
A minimum of 10 to 15 years' experience in delivering overall support in IT customer services and co...
2419 views
Mkandarasi wa kazi ndogo ndogo za ujenzi (pre- qualification for civil and building works) kwa mwaka Fedha 2017/18
Back
Posted: 10 May 2017 13:02
Deadline: 09 Jun 2017
Category: Engineering & Architecture
Location: Africa , Tanzania , Musoma
Employment: Full-Time
Education: Bachelor
Salary: Negotiable
About Company: Bunda is one of the seven districts of Mara Region in the United Republic of Tanzania, East Africa. It is bordered to the North by the Musoma Rural District and Butiama District, to the east by Serengeti District, to the South by Bariadi District and Busega District, and to the west by Lake Victoria. The district administration town is also called Bunda, located on the north-south trans-national all tarmac highway from Kenya to Zambia via Tarime and the lakeside municipalities of Musoma, Mwanza, and thereon to Mbeya in southern Tanzania. The district has four divisions, namely: Kenkombyo, Nansimo, Serengeti and Chamuriho.
Email: halmashauri.bunda@gmail.com
Phone: +2552826210SS
Contact name: md
File: Download
Requirements
1. Mwombaji at'atakiwa kuambatanisha vielelezo vya kampuni au mtu
binafsi ikiwa ni pamoja na . usajili wa kampuni au jina la biashara,
leseni CHAI) ya biashara, TIN/VAT .
2. Waombaji waambatanishe Hati ya nguvu ya kisheria na muhtasari
unaotoa maamuzi ya kuteua msimamizi wa kazi au barua ya
utambulisho wa serikali za mitaa kama ni mtu binafsi
3. Mwombaji lazima awe na ofisi ya kudumu na ataje mahali ofisi yake
iii po.
4. Mwombaji aoneshe uzoefu wa kazi ikiwa ni pamoja na kuonesha
sehemu alizo wahi fanya kazi.
5. Kwa Pre-qualification contarctors awe amesajiliwa kama mkandarasi
wa majengo au barabara daraja la VII na kuendelea.
6. Mwombaji/ mwakilishi anaalikwa kuhudhuria kikao cha ufunguzi wa
zabuni siku ya ufunguzi utakapofanyika tarehe 09/06/2017 kwenye
ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Bunda.
7. Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 09/06/2016 saa 4.00 asubuhi
na ufunguzi utafanyika siku hiyohiyo mara baada ya kufunga
kupokea zabuni.
8. Maombi yote yawekwe katika bahasha na kufungwa vizuri bila ya
kuonesha inakotqka na juu yake iandikwe kw_a herufi kubwa namba
na aina ya zabuni inayoombwa.
9. Mwombaji ajaze kwenye rejesta ya kupokea maombi na atumbukize
katika sanduku la zabuni lilipo katika ofisi ya manunuzi namba 7.
10. Mwombaji atatakiwa kuchukua kabrasha la zabuni katika ofisi No. 7
baada ya kulipa Tsh. 50,000/= kama ada ya zabuni isiyorejeshwa
kwa kila huduma atakayoomba, na pia anaruhusiwa kuomba zabuni
zaidi ya moja. Fedha zitalipwa bank kwenye A/ C Na. 30ll0011416 na
kuwasilisha slip kwa Mkurugenzi .
Conditions
N/A
Responsibilities
As required by the supervisor
Coopera teWith Us »
We are looking for partners all over the world to work with bizcyclone.com Interested persons and companies please contact us on email - Details >>