Similar jobs
Posted: 17 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Tanzania, Dar es Salaam
University Degree in Finance, Business Management or Accounting Professional qualification such as...
Posted: 17 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Uganda, Kampala
A minimum of a Bachelor’s degree in Business Administration, Finance or Accounting or any other rela...
Posted: 16 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Tanzania, Dar es Salaam
1. Must possess a Bachelor Degree/Advanced Diploma in Business Administration, Economics, Finance,...
Posted: 16 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Tanzania, Dar es Salaam
Master'sdegree in Accounting, Finance, Business Administration or equivalent; Bachelor's degree in...
Posted: 16 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Philippines, Manila
Bachelor's degree in IT, accounting, business administration, or finance.
1451 views
MKAGUZI WA HESABU WA NDANI MSAIDIZI DARAJA LA II (NAFASI 1)
Back
Posted: 18 May 2017 13:46
Deadline: 09 Jun 2017
Category: Accounting/Finance
Location: Africa , Tanzania , Dar es Salaam
Employment: Full-Time
Education: Bachelor
Salary: Negotiable
About Company: CHAMA CHA WAFANYAKAZI WA VIWANDA, BIASHARA, TAASISI ZA FEDHA, HUDUMA NA USHAURI (TUICO) NI CHAMA CHA KUTETEA HAKI NA MASLAHI YA WAFANYAKAZI TANZANIA AMBACHO KIKO MIKOA YOTE NCHINI
Email: info@tuico.go.tz
Contact name: MD
File: Download
Requirements
Sifa zinazohitajika:
Shahada au Stashahada ya juu ya Uhasibu au wenye sifa
inayolingana na hiyo.
- Awe anajua Computer vizuri.
- Uzoefu wa kazi/CPA itaongeza sifa zaidi
Conditions
N/A
Responsibilities
Kazi za kufanya:
- Kufuatilia makusanyo ya ada kutoka sehemu za kazi/matawini.
- Kukagua maingizo katika leja mbalimbali.
- Kukagua maingizo ya mapokezi ya fedha na vifaa katika vitabu
mbalimbali.
- Kukagua marejesho ya masurufu na mikopo yafanywayo na
matumizi mbalimbali.
- Kufanya kazi nyinginezo kama atakavyoagizwa na mkuu wake wa
kazi.
Coopera teWith Us »
We are looking for partners all over the world to work with bizcyclone.com Interested persons and companies please contact us on email - Details >>