Similar jobs
Posted: 18 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Kenya, Nairobi
Advanced university degree (Master's degree or equivalent degree) in political science, social scien...
Posted: 18 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Tanzania, Morogoro
Possession of a Certificate of Secondary Education Examination {Form IV) PLUS a Diploma in 1 Early...
Posted: 18 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Tanzania, Morogoro
Possession of a Certificate of Secondary Education Examination (Form IV). Those with a proven worki...
Posted: 18 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Tanzania, Morogoro
Possession of a certificate of Secondary Education Examination (Form IV). Those with a proven workin...
Posted: 18 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Tanzania, Morogoro
Possession of a Certificate of Secondary Education Examination (Form IV) with at least three years...
1451 views
WASAIDIZI WA OFISI DARAJA LA IV (NAFASI 2)
Back
Posted: 18 May 2017 13:47
Deadline: 09 Jun 2017
Category: Administrative
Location: Africa , Tanzania , Dar es Salaam
Employment: Full-Time
Education: Secondary School
Salary: Negotiable
About Company: CHAMA CHA WAFANYAKAZI WA VIWANDA, BIASHARA, TAASISI ZA FEDHA, HUDUMA NA USHAURI (TUICO) NI CHAMA CHA KUTETEA HAKI NA MASLAHI YA WAFANYAKAZI TANZANIA AMBACHO KIKO MIKOA YOTE NCHINI
Email: info@tuico.go.tz
Contact name: MD
File: Download
Requirements
- Elimu ya Kidato cha Nne au Sita (Cheti cha kidato cha nne au sita)
- Awe amehitimu mafunzo ya uhudumu wa ofisi katika chuo
kinachotambulika na Serikali.
- Awe amehitimu na kufaulu mtihani wa "Lower Registry Assistant".
- Uzoefu wa kazi utaongeza sifa zaidi.
Conditions
N/A
Responsibilities
- Kuhakikisha usalama wa vifaa na vitendea kazi sehemu
alizopangiwa.
- Kuhakikisha kuwa milango yote na madirisha yanafungwa baada
ya kazi.
- Kusambaza barua au taarifa kama atakavyoelekezwa na
msimamizi wake.
- Kushughulikia usafi wa ofisi na mazingira yake.
- Kuwaelekeza wageni kwa wakuu wanaohusika.
- Atafanya kazi zingine zote atakazoelekezwa na wakuu wake wa
kazi.
Coopera teWith Us »
We are looking for partners all over the world to work with bizcyclone.com Interested persons and companies please contact us on email - Details >>