Similar jobs
Posted: 18 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Kenya, Nairobi
Advanced university degree (Master's degree or equivalent degree) in political science, social scien...
Posted: 18 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Tanzania, Morogoro
Possession of a Certificate of Secondary Education Examination {Form IV) PLUS a Diploma in 1 Early...
Posted: 18 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Tanzania, Morogoro
Possession of a Certificate of Secondary Education Examination (Form IV). Those with a proven worki...
Posted: 18 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Tanzania, Morogoro
Possession of a certificate of Secondary Education Examination (Form IV). Those with a proven workin...
Posted: 18 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Tanzania, Morogoro
Possession of a Certificate of Secondary Education Examination (Form IV) with at least three years...
2177 views
KATIBU MUHTASI DARAJA LA IV (NAFASI 2)
Back
Posted: 18 May 2017 13:49
Deadline: 09 Jun 2017
Category: Administrative
Location: Africa , Tanzania , Dar es Salaam
Employment: Full-Time
Education: Secondary School
Salary: Negotiable
About Company: CHAMA CHA WAFANYAKAZI WA VIWANDA, BIASHARA, TAASISI ZA FEDHA, HUDUMA NA USHAURI (TUICO) NI CHAMA CHA KUTETEA HAKI NA MASLAHI YA WAFANYAKAZI TANZANIA AMBACHO KIKO MIKOA YOTE NCHINI
Email: info@tuico.go.tz
Contact name: MD
File: Download
Requirements
Sifa zinazohitajika:
- Cheti cha Kidato cha Nne au zaidi.
- Cheti/Diploma ya mafunzo ya Uhazili hatua ya kwanza hadi ya
tatu.
- Awe amefaulu soma la "Shorthand" na ajue vizuri "Microsoft
Windows (Word & Excel)"
- Uzoefu wa kazi utaongeza sifa zaidi.
Conditions
N/A
Responsibilities
Kazi za kufanya:
- Kuchapa mambo ya ofisi.
Kuchapa barua, madokezo, taarifa, nyaraka, hati, chati na stencil.
Kurudufu makaratasi kwenye mashine ya kurudufu au kutoa
nakala za karatasi kwenye 'Photocopy Machine'.
Kuhakikisha matumizi bora ya mashine za kuchapa na kwamba
zinatumika kwa kazi za ofisi.
Kuhakikisha kwamba mashine ya kuchapa daima ipo katika hali
nzuri ya kufanya kazi ikiwa ni pamoja na kuisafisha kabla ya
kuanza kuitumia.
Kuhakikisha kwamba nakala za · barua zilizochapwa zimefailiwa
katika majalada yanayohusika.
Kuhakikisha kwamba vifaa vya kufanyia kazi vipo na viko katika
hali ya kuweza kutumika kama mashine za kuchapa, karatasi za
aina mbalimbali, wino wa kufutia n.k.
Kutunza Siri za nyaraka za ofisi.
Kufanya kazi zingine zozote kadri atakavyoelekezwa na Mkuu
wake wa kazi.
Coopera teWith Us »
We are looking for partners all over the world to work with bizcyclone.com Interested persons and companies please contact us on email - Details >>