Similar jobs
Posted: 23 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Zimbabwe, Harare
Relevant Masters Degree in Finance or Equivalent Relevant work experience: at least 5 years
Posted: 23 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Zimbabwe, Harare
Relevant Masters Degree in Finance or Equivalent Relevant work experience: at least 5 years
Posted: 23 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Uganda, Kampala
A minimum of a Master's Degree in Health Management or Public Health Minimum of 10 years experience...
Posted: 23 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Tanzania, Mwanza
i) Awe na Elimu ya kidato cha nne au sita (IV)/ (Vl) ii) Awe amchitimu mafunzo ya Stashahada/ che...
Posted: 23 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Uganda, Kampala
2 Years 'Experience from working with Food Security/Livelihood projects in a humanitarian/recovery c...
1129 views
MASHARTI YA AJIRA - AJIRA YA MKATABA WA MWAKA MMOJA MMOJA
Back
Posted: 06 Jul 2017 11:40
Deadline: 26 Jul 2017
Category: Administrative
Location: Africa , Tanzania , Tanga
Employment: Full-Time
Education: Secondary School
Salary: Negotiable
About Company: one of tanga district
Email: lushotoded@yahoo.com
Phone: N/A
Contact name: N/A
File: Download
Requirements
Awe na Cheti cha ATEC Level II au "
Foundation Level" kinachotolewa na
NBAA, Waombaji wawe na uzoefu wa kazi
zaidi ya Mwaka Mmoja (1) katika fani
hiyo.
Conditions
1. Mwombaji lazima awe ni Raia wa
Tanzania
2. Hajawahi kufungwa kwa makosa ya jinai
3. Hajawahi kufukuzwa kazi Serikalini
4. Maombi ni lazima yaambatanishwe na
vivuli vya vyeti vya kuzaliwa, Kuhitimu
Elimu ya Sekondari na Elimu ya
Mafunzo/Taaluma
5. Awe na umri wa zaidi ya Miaka 18.
6. Awe na umri usiozidi Miaka 45
7. Aambatanishe Picha 2 za Pasport size na
za hivi karibuni
8. Aambatanishe wasifu (CV).
Responsibilities
i. Kuandika na kutunza "Register"
zinazohusu shughuli za Uhasibu.
ii. Kuandika hati za malipo na hati za
mapokezi ya fed ha
iii. Kutunza Majalada yenye kumbukumbu
za Hesabu
iv. Kupeleka barua /nyaraka za uhasibu
Benki
v. K1Jfanya . usuluhi~ho wa Masurufu,
Karadha, Hesabu za Benki na Amana
vi. Kazi nyingine atakazopangiwa na Mwajiri
Coopera teWith Us »
We are looking for partners all over the world to work with bizcyclone.com Interested persons and companies please contact us on email - Details >>