Similar jobs
Posted: 17 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Tanzania, Singida
Kuajiriwa mwenya Cheti cha Mtihani wa Kidato cha IV
Posted: 17 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Tanzania, Tabora
Elimu ya Kidato cha Nne au Sita Awe na leseni Daraja "C" ya uendeshaji pamoja na uzoefu wa kuendes...
Posted: 17 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Tanzania, Dar es Salaam
Holder of Form Four Certificate with valid Driving License( Class B,C,D Categories) who has drivin...
Posted: 17 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Uganda, Kampala
Applicants should have an O’ level certificate with a valid Driving Permit With minimum of two Class...
Posted: 17 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Tanzania, Dar es Salaam
Holder of Form IVNI Secondary Education with passes in Kiswahili and English. He/She must have a va...
1290 views
TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA KUKUSANYA USHURU WA MAEGESHO
Back
Posted: 19 Jul 2017 09:49
Deadline: 27 Jul 2017
Category: Transportation
Location: Africa , Tanzania , Dar es Salaam
Employment: Full-Time
Education: Bachelor
Salary: Negotiable
About Company: Jiji la Dar es Salaam lipo kati ya latitudo nyuzi 6 hadi 7 na longitudo kati 39.45 kwa upande wa Mashariki na nyuzi 39 kwa upande wa magharibi, Kusini mwa ikweta na upande wa magharibi, Kusini na Kaskazini. Jiji linapakana na Mkoa wa Pwani, upande wa Mashariki linapakana na Bahari ya Hindi. Jiji la Dar es Salaam lina eneo la ukubwa wa kilomita za Mraba zipatazo 1,800; kati ya hizo, kilomita za mraba 1,350 ni eneo la nchi kavu ikijumuisha visiwa vinane vilivyopo katika eneo la bahari ya Hindi. Jiji hupata joto la wastani wa kati ya nyuzi 25 hadi 33 na mvua katika misimu miwili ya vuli ambayo ni miezi ya Oktoba – Desemba na Masika ambayo huanza miezi ya Machi – Mei.
Email: cd@dcc.go.tz
Phone: 0222-2123551
File: Download
Requirements
• Awe Raia wa Tanzania mwenye umri usiopungua miaka 18 na umri
usiozidi miaka 60
• Awe na elimu ya darasa la Saba na kuendelea
• Awe na uwezo wa kutumia "Smart phone" katika miamala ya
malipo
• Awe na Uzoefu usiopungua miezi sita katika masuala ya
kukusanya Ushuru.
• Awe mwadilifu na mwaminifu na awe hajawahi kutiwa hatiani kwa
kosa la jinai
Conditions
N/A
Responsibilities
USHURU WA MAEGESHO JIJI LA DAR-ES-SALAAM
,.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam anawatangazia
wakazi wa Dar es Salaam wenye sifa, nafasi ya kazi ya kukusanya
mapato ya maegesho katika Jiji la Dar-es-Salaam jumla ya Nafasi ni Mia
moja na hamsini (150). Kazi hii itakuwa ni ya Mkataba na mshahara
utalipwa kwa kuzingatia Sheria ya Ajira Cap. 300 "Wage Order" 2013
ambao utakuwa Sh. 150,000/= kwa mwezi.
Coopera teWith Us »
We are looking for partners all over the world to work with bizcyclone.com Interested persons and companies please contact us on email - Details >>