Similar jobs
Posted: 21 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: South Sudan,
• At least diploma or its equivalent in midwifery from a recognized institution • At least 1 year o...
Posted: 21 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Uganda, Yumbe
BACHELOR DEGREE 3 YEARS EXPERIENCE
Posted: 21 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Georgia, Багдати
Bachelor's degree. Master's degree preferred or equivalent experience in the areas of expertise.
Posted: 21 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: South Sudan,
diploma from recognized university with health and/or social works back ground.
Posted: 21 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Indonesia, Jakarta
A Bachelor's degree in Accounting, Finance, Economics, Business, Literature, Public Administration,...
1451 views
MTENDAJI WA MTAA DARAJA LA III- (NAFASI 31)
Back
Posted: 26 Jul 2017 09:17
Deadline: 15 Aug 2017
Category: Administrative
Location: Africa , Tanzania , Dar es Salaam
Employment: Full-Time
Education: Secondary School
Salary: 390000 TZS
About Company: Kigamboni is a District of Dar es Salaam, Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 36,701.[1] The Kigamboni Bridge, currently under construction, will link the area to the
Email: info@kigamboni.co.tz
Contact name: MD
File: Download
Requirements
Kuajiriwa mwenye Elimu ya Kidato cha Nne (IV) au Sita (VI) aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti
katika moja ya fani zifuatazo: Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na
Sayansi ya Sanaa kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma au Chuo chochote
kinachotambuliwa na Serikali.
Conditions
N/A
Responsibilities
(a) Katibu wa kamati ya Mtaa
(b) Mtendaji Mkuu wa Mtaa
(c) Mratibu wa utekelezaji wa Sera na Sheria zinazotekelezwa na Halmashauri katika Mtaa
(d) Mshauri wa Kamati ya Mtaa kuhusu Mipango ya Maendeleo katika Mtaa
(e) Msimamizi wa Utekelezaji wa Sheria ndogo pamoja na Sheria nyingine zinazotumika katika Mtaa
(f) Mshauri wa Kamati ya Mtaa kuhusu masuala ya Ulinzi na Usalama
(g) Msimamizi wa utekelezaji wa mikakati mbalimbali inayohusu uondoaji wa njaa na Umaskini katika
Mtaa
(h) Kusimamia ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri na kutunza kumbukumbu za walipa kodi wote
(i) Kuandaa na kutunza rejesta ya wakazi wote wa Mtaa
(j) Atawajibika kwa Mtendaji wa Kata
Coopera teWith Us »
We are looking for partners all over the world to work with bizcyclone.com Interested persons and companies please contact us on email - Details >>