Similar jobs
Posted: 23 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Zimbabwe, Harare
Relevant Masters Degree in Finance or Equivalent Relevant work experience: at least 5 years
Posted: 23 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Zimbabwe, Harare
Relevant Masters Degree in Finance or Equivalent Relevant work experience: at least 5 years
Posted: 23 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Uganda, Kampala
A minimum of a Master's Degree in Health Management or Public Health Minimum of 10 years experience...
Posted: 23 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Tanzania, Mwanza
i) Awe na Elimu ya kidato cha nne au sita (IV)/ (Vl) ii) Awe amchitimu mafunzo ya Stashahada/ che...
Posted: 23 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Uganda, Kampala
2 Years 'Experience from working with Food Security/Livelihood projects in a humanitarian/recovery c...
645 views
KATIBU MAHSUSI DARAJA LA III (NAFASI 1)
Back
Posted: 26 Jul 2017 09:22
Deadline: 15 Aug 2017
Category: Administrative
Location: Africa , Tanzania , Dar es Salaam
Employment: Full-Time
Education: Secondary School
Salary: Negotiable
About Company: Kigamboni is a District of Dar es Salaam, Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 36,701.[1] The Kigamboni Bridge, currently under construction, will link the area to the
Email: info@kigamboni.co.tz
Contact name: MD
File: Download
Requirements
Kuajiriwa mwenye Elimu ya Kidato cha Nne (IV) waliohudhuria mafunzo ya Uhazili nakupata cheti cha
NTA LEVEL 5. Wawe wamefaulu somo la hati mkato ya Kiswahili na Kiingereza maneno 80 kwa dakika
moja na wawe wamepata mafunzo ya kutumia kompyuta kutoka Chuo chochote kinachotambuliwa na
Serikali nakupata Cheti katika programu za Windows, Microsoft Office, Internet, E-mail na Publisher.
Conditions
N/A
Responsibilities
(a) Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawaida
(b) Kusaidia kupokea wageni na kuwasaili shida zao, na kuwaelekeza sehemu wanapoweza
kushughulikiwa
(c) Kusaidia kutunza taarifa/kumbukumbu za matukio, miadi, wageni, tarehe za vikao, safari za mkuu wake
na ratiba za kazi nyingine zilizopangwa kutekelezwa katika Ofisi anayofanyia kazi na kumuarifu mkuu
wake kwa wakati unaohitajika
(d) Kusaidia kutafuta na kumpatia Mkuu wake majalada, nyaraka au kitu chochote kinachohitajika katika
shughuli za hapo Ofisini
(e) Kus'aidia kufikisha maelekezo ya Mkuu wake wa kazi kwa wasaidizi wake na pia kumuarifu kuhusu
taarifa zozote anazokuwa amepewa na wasaidizi hao
(f) Kusaidia kupokea majalada, kuyagawa kwa Maofisa walio katika Sehemu alipo, na kuyakusanya,
kuyatunza na kuyarudisha sehemu zinazohusika
(g) Kutekeleza kazi zozote atakazokuwa amepangiwa na Msimamizi wake wa kazi
Coopera teWith Us »
We are looking for partners all over the world to work with bizcyclone.com Interested persons and companies please contact us on email - Details >>