Similar jobs
Posted: 21 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Switzerland, Genève
bachelor degree
Posted: 21 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Switzerland, Genève
bachelor degree
Posted: 21 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Switzerland, Genève
At least 5 years extensive experience on Linux scripting / development.
Posted: 21 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Switzerland, Genève
University degree in a computer science related discipline or equivalent experience At least five y...
Posted: 21 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Pakistan, Bāgh Būta
Bachelor's degree in a relevant discipline.
887 views
KATIBU MAHSUSI DARAJA LA III (Nafasi 2)
Back
Posted: 28 Jul 2017 11:48
Deadline: 25 Aug 2017
Category: Administrative
Location: Africa , Tanzania , Dar es Salaam
Employment: Full-Time
Education: Bachelor
Salary: Negotiable
About Company: Temeke was first established as a district in 1972 following the introduction of the Decentralisation Policy in Tanzania. Prior that time Dar es Salaam City and Coast Region constituted a single region known as Coast Region which constituted Mzizima, Kilwa, Rufiji, Kisarawe Bagamoyo and Coastal districts. Later on, the region was further subdivided into two Regions namely Coast (Pwani) and Dar es Salaam. While the former included Kisarawe, Bagamoyo, Rufiji, Mafia, Mkuranga and Kibaha districts, the later encompassed Ilala, Kinondoni and Temeke districts. Of recent, a portion of land was apportioned from Mkuranga District and added to the present Municipality's area of jurisdiction.
Email: temekemanispaa@raha.com
Phone: +255-22-2851054
File: Download
Requirements
Elimu ya kidato cha IV.
Waliohudhuria mafunzo ya uhazili na kufaulu mtihani wa hatua ya Ill.
Waliofaulu somo la hati mkato ya Kiswahili na kiingereza maneno 80 kwa dakika 1.
Waliopata mafunzo ya Kompyuta kutoka katika Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali na
kupata cheti katika programme ya windows/ Microsoft Office/ Internet/Email na Publisher.
Conditions
N/A
Responsibilities
Kuchapa barua/taarifa na nyaraka za kawaida.
Kusaidia kupokea wageni na kuwasaili shida zao na kuwaelekeza sehemu wanaweza kushunghulikiwa.
Kusaidia kutunza taarifa/kumbukumbu za matukio, miadi, wageni, tarehe za vikao, safari za mkuu
wake, na ratiba za kazi zingine zilizotangwa kutekelezwa katika ofisi anamofanyia kazi na kumwarifu
mkuu wake kwa wakati unapohitajika.
Kusaidia kutafuta na kumpatia Mkuu wake majalada, nyaraka au kitu chochote kinachohitajika
katika shunghuli za kazi hapo Ofisini.
Kusaidia kufikisha maelekezo ya Mkuu wake wa kazi kwa wasaidizi wake na pia kumwarifu kuhusu
taarifa zozote anazokuwa amepewa na wasaidizi hao.
Kusaidia kupokea majalada, kuyagawa kwa Maofisa wal io katika sehemu alipo, na kuyakusanya,
kuyatunza na kuyarudisha sehemu inayohusika.
Kutekeleza kazi zozote atakazokuwa amepangiwa na msaidizi wake wa kazi.
Coopera teWith Us »
We are looking for partners all over the world to work with bizcyclone.com Interested persons and companies please contact us on email - Details >>