Similar jobs
Posted: 23 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Uganda, Kampala
A minimum of a Master's Degree in Health Management or Public Health Minimum of 10 years experience...
Posted: 23 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Tanzania, Mwanza
i) Awe na Elimu ya kidato cha nne au sita (IV)/ (Vl) ii) Awe amchitimu mafunzo ya Stashahada/ che...
Posted: 23 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Uganda, Kampala
2 Years 'Experience from working with Food Security/Livelihood projects in a humanitarian/recovery c...
Posted: 23 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Tanzania, Mwanza
l) Awe na Elimu ya kidato cha sita, na Il) Awe amefuzu mafunzo ya cbeti cha Utunzaji kumbukumbu ka...
Posted: 23 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Tanzania, Mwanza
(i) Kuchapa bama, taarifa na nyaraka za kawaida (ii) Kusaidia kupokea wageni na kuwasaili shida wo...
403 views
mtendaji wa mtaa III-Nafasi 27
Back
Posted: 01 Aug 2017 08:50
Deadline: 14 Aug 2017
Category: Administrative
Location: Africa , Tanzania , Dar es Salaam
Employment: Full-Time
Education: Secondary School
Salary: Negotiable
About Company: The Kinondoni Municipal Council is one of the three Municipalities within the City of Dar es Salaam in Tanzania. The vision of the Council is to have a community, which is highly motivated, dynamic, with developed socioeconomic infrastructure. The overall objective of the mission is provision of quality services to the community through effective and efficient use of resources; capacity building, good governance and respect to the rule of law hence improve the living standard. The Kinondoni Municipal Council is charged with the responsibility of delivering services to the people. The council has been depending on various levies and taxes as its major sources of revenue. The main sources include property tax, levies on billboards, City service levy and others. On the other hand the central government is assisting through subsidy on specific areas like health, education and infrastructures.
Email: md@kinondonimc.go.tz
Phone: +255 22 2170173
File: Download
Requirements
Kuajiriwa mwenye Elimu ya Kidato cha (IV) au (VI) aliyehitimu Astashahada/Cheti katika fani ya
Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa
kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
Conditions
N/A
Responsibilities
i) Katibu wa Kamati ya Mtaa;
ii) Mtendaji Mkuu wa Mtaa;
iii) Mratibu wa utekelezaji wa Sera na Sheria zinazotekelezwa na Halmashauri katika Mtaa
iv) Mshauri wa Kamati ya Mtaa kuhusu Mipango ya Maendeleo katika Mtaa;
v) Msimamizi wa Utekelezeji wa Sheria Ndogo pamoja na Sheria nyingine zinazotumika katika Mtaa
vii)Msimamizi wa utekelezaji wa mikakati mbalimbali inayohusu uondoaji wa n1aa na mas m1
Mtaa;
viii)Kusimamia ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri na kutunza kumbukumbu za walipa kodi wote;
ix) Kuandaa na kutunza rejesta ya wakazi wote wa Mtaa; na
x) Atawajibika kwa Mtendaji wa Kata.
Coopera teWith Us »
We are looking for partners all over the world to work with bizcyclone.com Interested persons and companies please contact us on email - Details >>