Similar jobs
Posted: 22 Aug 2017
Salary: 390000 TZS
Location: Tanzania, Mtwara
Holder of a bachelor degree
Posted: 22 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Serbia,
University degree in medicine, a health-related field or public health-related discipline. Master o...
Posted: 22 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Serbia,
Bachelor's degree (or higher) in a subject related to nature conservation and environmental manageme...
Posted: 22 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Central African Republic,
Minimum 2 years managing significant USG-funded programs required; Knowledge of key USG regulations...
Posted: 22 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Tanzania, Dar es Salaam
A university degree in a discipline relevant to the work of FEWS NET, such as agricultural economics...
241 views
KATIBU MAHSUSI DARAJA LA Ill - NAFASI 5
Back
Posted: 01 Aug 2017 08:52
Deadline: 14 Aug 2017
Category: Administrative
Location: Africa , Tanzania , Dar es Salaam
Employment: Full-Time
Education: Secondary School
Salary: Negotiable
About Company: The Kinondoni Municipal Council is one of the three Municipalities within the City of Dar es Salaam in Tanzania. The vision of the Council is to have a community, which is highly motivated, dynamic, with developed socioeconomic infrastructure. The overall objective of the mission is provision of quality services to the community through effective and efficient use of resources; capacity building, good governance and respect to the rule of law hence improve the living standard. The Kinondoni Municipal Council is charged with the responsibility of delivering services to the people. The council has been depending on various levies and taxes as its major sources of revenue. The main sources include property tax, levies on billboards, City service levy and others. On the other hand the central government is assisting through subsidy on specific areas like health, education and infrastructures.
Email: md@kinondonimc.go.tz
Phone: +255 22 2170173
File: Download
Requirements
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha IV waliohudhuria Mafunzo ya Uhazili na kufaulu mtihani wa Hatua
ya Tatu. Wawe wamefaulu some la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maneno 80 kwa dakika moja
na wawe wamepata mafunzo ya Kompyuta kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali na
kupata cheti katika programu za Windows, Microsoft Office, Internet, E-mail na Publisher.
Conditions
N/A
Responsibilities
Katibu Mahsusi Daraja la Ill atapagiwa kufanya kazi katika "Typing Pool" au chini ya Katibu Mahsusi
mwingine mwenye cheo cha juu kumzidi kwenye ofisi ya Mkuu ~ sehemu au kitengo.
i) Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawaida
ii) Kusaidia kupokea wageni na kuwasaili shida zao na kuwaelekeza sehemu wanapoweza kushughulikiwa
iii) Kusaidia kutunza taarifa aukumbukumbu za matukio, miadi, wageni, tarehe za vikao safari za
Mkuu wake na ratiba ya kazi zingine zilizopangwa kutekelezwa katika ofisi anamofanyia kazi, na
kumuarifu Mkuu wake kwa wakati unaohitajika.
iv) Kusaidia kutafuta na kumpatia Mkuu wake majalada, nyaraka au kitu chochote kinachohitajika
katika shughuli za kazi hapo ofisini.
v) Kusaidia kufikisha maelezo ya Mkuu wake wa kazi kwa wasaidizi wake na pia kumuarifu kuhusu
taarifa zozote anazokuwa amepewa na wasaidizi hao.
vi) Kusaidia kupokea majalada, kuyagawa kwa Maofisa walio katika sehemu alipo,na kuyakusanya,
kuyatunza na kuyarudisha sehemu zinazohusika.
vii) Kutekeleza kazi zozote atakazokuwa amepangiwa na Msimamizi wake wa kazi.
Coopera teWith Us »
We are looking for partners all over the world to work with bizcyclone.com Interested persons and companies please contact us on email - Details >>