Similar jobs
Posted: 23 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Zimbabwe, Harare
Relevant Masters Degree in Finance or Equivalent Relevant work experience: at least 5 years
Posted: 23 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Zimbabwe, Harare
Relevant Masters Degree in Finance or Equivalent Relevant work experience: at least 5 years
Posted: 23 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Uganda, Kampala
A minimum of a Master's Degree in Health Management or Public Health Minimum of 10 years experience...
Posted: 23 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Tanzania, Mwanza
i) Awe na Elimu ya kidato cha nne au sita (IV)/ (Vl) ii) Awe amchitimu mafunzo ya Stashahada/ che...
Posted: 23 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Uganda, Kampala
2 Years 'Experience from working with Food Security/Livelihood projects in a humanitarian/recovery c...
1048 views
KATIBU MAHSUSI Ill (PERSONAL SECRETARY Ill) - NAFASI (2)
Back
Posted: 02 Aug 2017 07:14
Deadline: 15 Aug 2017
Category: Administrative
Location: Africa , Tanzania , Dar es Salaam
Employment: Full-Time
Education: Secondary School
Salary: Negotiable
About Company: Jiji la Dar es Salaam lipo kati ya latitudo nyuzi 6 hadi 7 na longitudo kati 39.45 kwa upande wa Mashariki na nyuzi 39 kwa upande wa magharibi, Kusini mwa ikweta na upande wa magharibi, Kusini na Kaskazini. Jiji linapakana na Mkoa wa Pwani, upande wa Mashariki linapakana na Bahari ya Hindi. Jiji la Dar es Salaam lina eneo la ukubwa wa kilomita za Mraba zipatazo 1,800; kati ya hizo, kilomita za mraba 1,350 ni eneo la nchi kavu ikijumuisha visiwa vinane vilivyopo katika eneo la bahari ya Hindi. Jiji hupata joto la wastani wa kati ya nyuzi 25 hadi 33 na mvua katika misimu miwili ya vuli ambayo ni miezi ya Oktoba – Desemba na Masika ambayo huanza miezi ya Machi – Mei.
Email: cd@dcc.go.tz
Phone: 0222-2123551
File: Download
Requirements
Waombaji wawe na Elimu ya Kidato cha Nne/Sita waliohitimu mafunzo ya Uhazili na
kufaulu mtihani wa Hatua ya Tatu. Wawe wamefaulu somo la Hati Mkato ya Kiswahili na
Kiingereza maneno (80) kwa dakika moja na wawe wamepata mafunzo ya kompyuta
kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali na kupata cheti katika Programu
za Windows, Microsoft Office, Internet, E-mail na Publisher.
Conditions
N/A
Responsibilities
(i) Kuchapa barua na nyaraka za kawaida.
(ii) Kusaidia kupokea wageni na kuwasaili shida zao, na kuwaelekeza sehemu
wanapoweza kushughulikiwa.
(iii) Kusaidia kutafuta na kumpatia Mkuu wake majalada, nyaraka au kitu chochote
kinachohitajika katika shughuli za kazi hapo ofisini.
(iv) Kusaidia kupokea majalada, kuyagawa kwa maafisa walio katika sehemu alipo na
kuyakusanya, kuyatunza na kurudisha sehemu zinazohusika.
(v) Kusaidia kutunza taarifa/kumbukumbu za matukio, miadi, wagen·, ta rehe za vikao,
safari za Mkuu wake na ratiba ya kazi zingine zilizopangwa kutekelezwa katika ofisi
anamofanyia kazi na kumwarifu Mkuu wake kwa wakati unaohitajika.
Coopera teWith Us »
We are looking for partners all over the world to work with bizcyclone.com Interested persons and companies please contact us on email - Details >>