Similar jobs
Posted: 16 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Cambodia,
Degree in Social Sciences, computer sciences, IT,or other relevant field.
Posted: 16 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Cambodia, Bătdâmbâng
Bachelor's degree required, preferably in business management, international development or social s...
Posted: 16 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Tanzania, Dar es Salaam
1. Holders of a Bachelor Degree in Computer Science/Computer Engineering /Information Technology. 2...
Posted: 16 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Cambodia, Bát Tráng
Bachelor's degree required, preferably in business management, international development or social s...
Posted: 16 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Tanzania, Dar es Salaam
• Bachelor's degree in a relevant field, master's degree preferred • Minimum 5 years of relevant ex...
403 views
MWENDESHA MITAMBO II (PLANT OPERATOR II) - NAFASA (2)
Back
Posted: 02 Aug 2017 07:16
Deadline: 15 Aug 2017
Category: Administrative
Location: Africa , Tanzania , Dar es Salaam
Employment: Full-Time
Education: Secondary School
Salary: Negotiable
About Company: Jiji la Dar es Salaam lipo kati ya latitudo nyuzi 6 hadi 7 na longitudo kati 39.45 kwa upande wa Mashariki na nyuzi 39 kwa upande wa magharibi, Kusini mwa ikweta na upande wa magharibi, Kusini na Kaskazini. Jiji linapakana na Mkoa wa Pwani, upande wa Mashariki linapakana na Bahari ya Hindi. Jiji la Dar es Salaam lina eneo la ukubwa wa kilomita za Mraba zipatazo 1,800; kati ya hizo, kilomita za mraba 1,350 ni eneo la nchi kavu ikijumuisha visiwa vinane vilivyopo katika eneo la bahari ya Hindi. Jiji hupata joto la wastani wa kati ya nyuzi 25 hadi 33 na mvua katika misimu miwili ya vuli ambayo ni miezi ya Oktoba – Desemba na Masika ambayo huanza miezi ya Machi – Mei.
Email: cd@dcc.go.tz
Phone: 0222-2123551
File: Download
Requirements
Mwombaji awe na Cheti cha Kidato cha IV ambaye ana leseni Daraja la "G"ya
kuendesha mitambo na ujuzi wa kutunza vyombo vya aina hiyo, ujuzi sio chini ya saa
300 (miezi mitatu 3) bila kusababisha ajali.
Conditions
N/A
Responsibilities
(i) Kutafuta kumbukubmu/nyaraka/mafaili yanayohitajiwa na wasomaji.
(ii) ~ Kudhibiti upokeaji, uandikishaji wa kumbukumbu/nyaraka.
(iii) Kuchambua, kuorodhesha na kupanga kumbukumbu/nyaraka katika makundi na
so mo.
(iv) Kuweka/kupanga kumbukumbu/nyaraka katika reki katika masjala.
(v) Kuweka kumbukumbu; barua, nyaraka nk katika mafaili.
(vi) Kushughulikia maombi ya kumbukumbu/nyaraka kutoka Taasisi za Serikali.
Coopera teWith Us »
We are looking for partners all over the world to work with bizcyclone.com Interested persons and companies please contact us on email - Details >>