Similar jobs
Posted: 22 Aug 2017
Salary: 390000 TZS
Location: Tanzania, Mtwara
Holder of a bachelor degree
Posted: 22 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Serbia,
University degree in medicine, a health-related field or public health-related discipline. Master o...
Posted: 22 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Serbia,
Bachelor's degree (or higher) in a subject related to nature conservation and environmental manageme...
Posted: 22 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Central African Republic,
Minimum 2 years managing significant USG-funded programs required; Knowledge of key USG regulations...
Posted: 22 Aug 2017
Salary: Negotiable
Location: Tanzania, Dar es Salaam
A university degree in a discipline relevant to the work of FEWS NET, such as agricultural economics...
3791 views
MTENDAJI WA MTAA DARAJA LA Ill - NAFASI 38
Back
Posted: 05 Aug 2017 07:42
Deadline: 18 Aug 2017
Category: Administrative
Location: Africa , Tanzania , Dar es Salaam
Employment: Full-Time
Education: Secondary School
Salary: Negotiable
About Company: UBUNGO MUNICIPAL COUNCIL
Email: info@ubungomunicipal.go.tz
Contact name: MD
File: Download
Requirements
Kuajiriwa mwenye Elimu ya Kidato cha IV au VI aliyehitimu mafunzo ya
Astashahada (CERTIFICATE) katika moja ya fani zifuatazo:- Utawala, Sheria,
Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya sanaa
kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma au Chuo chochote
kinachotambuliwa na Serikali.
Conditions
N/A
Responsibilities
i) Katibu wa Kamati ya Mtaa.
ii) Mtendaji Mkuu wa Mtaa.
iii) Mratibu wa utekelezaji wa Sera na Sheria zinazotekelezwa na Halmashauri
katika Mtaa
iv) Mshauri wa Kamati ya Mtaa kuhusu Mipango ya Maendeleo katika Mtaa.
v) Msimamizi wa Utekelezeji wa Sheria Ndogo pamoja na Sheria nyingine
zinazotumika katika Mtaa.
vi) Msha':_Jri wa Kamati ya Mtaa kuhusu masuala ya Ulinzi na Usalama.
vii) Msimamizi wa utekelezaji wa mikakati mbalimbali inayohusu uondoaji wa
, njaa na Umaskini katika Mtaa.
"" viii) Kusimamia ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri na kutunza kumbukumbu
za walipa kodi wote
ix) Kuandaa na kutunza rejesta ya wakazi wote wa Mtaa, na
Coopera teWith Us »
We are looking for partners all over the world to work with bizcyclone.com Interested persons and companies please contact us on email - Details >>