4464 views
Kitabu cha mbinu za biashara
Back
Posted: 30 Dec 2015 10:17
Category: Books, Comics & Magazines | Non-Fiction
Address: Dar es Salaam, Tanzania
FOB price: 6000 TZS / Piece
Min. order quantity: 1 Piece(s)
Location on the map
Description
 Kitabu hiki kinalenga kumsaidia mtu yeyote ambaye anatafuta utajiri kwa kufanya biashara ndogondogo hadi kubwa. Pia kinatoa maarifa, mbinu na mikakati mbalimbali ya kupambana na umaskini, kinatoa elimu ya biashara na mbinu mbalimbali za namna ya kupata pesa kwa njia halali ili kukurahisishia safari yako ya kuelekea kwenye kutafuta na kupata utajiri. Mtunzi wa Kitabu hiki Charles P. M. Nazi ni mshauri wa masuala ya biashara. Kitabu hiki ni matokeo ya utafiti na uzoefu katika kazi za ukaguzi alizozifanya kwa kuangalia matatizo ya uendeshaji wa biashara mbalimbali pamoja na ushauri alioutoa kwa watu walioomba ushauri kutoka kwake
Contacts
Name: CHARLES NAZI
Phone: 255755394701
Coopera teWith Us »
We are looking for partners all over the world to work with bizcyclone.com Interested persons and companies please contact us on email - Details >>